Happy birthday to my most beautiful lady in the world!

255713766088Wishing my lovely mama a very happy birthday! Mungu azidi kukubariki, akupe maisha marefu yenye amani na furaha. Akulinde, akupe afya njema na akuepushe na mabaya yote. Happy birthday mama. LOVE YOU! 2015-07-27 08.17.15

????⌚??????????? and let’s go party????  FB_IMG_1438011796315Hizi picha zina tofauti ya miaka 15. Lakini kwa neema ya Mungu bado yupo fit na amani tele ndani ya moyo wake-Mungu ni mwema sana. Picha hiyo aliyo vaa kitenge ilipigwa home 15 yrs ago, na hiyo nyingine amepiga leo kazini kwakwe. Ashukuriwe Mungu baba muumba wa Mbingu na inchi!

2 thoughts on “Happy birthday to my most beautiful lady in the world!”

  1. Mwenyezi Mungu akupe Afya njema Ktk Maisha yk akuzidishie Maisha mema yenye Upendo na Amani kwani wewe ni Mama mwenye Upendo Mno.Always God blessing you…!!!

Leave a Reply