Black & White party by Eddah Elegant Catering

IMG_0967Wiki iliyo pita nilikuwa nimebahatika kua katika state ya Maryland ambapo nilifanikiwa kufanya mambo kadhaa muhimu, na pia nilipata nafasi ya kushiriki Black and White party ambayo iliandaliwa na Eddah Elegant Catering, siku ya Jumamosi ya tarehe 13 mwezi huu.  Kwakweli ilikuwa party ndogo lakini nzuri sana. Kila kitu kilikuwa on point, kuanzia mapambo, vyakula, na vinywaji.

IMG_6589
                                                                                                   Eddah Gachuma

Eddah Elegant Catering ni kampuni inayo milikiwa na Eddah Mwita Gachuma, mwana Diaspora, mtanzania aishie Maryland, U.S.A  Yeye ni mama, mke, na mjasiriamali anaye jihusisha na maswala ya mapambo, upishi, na uwandaaaji wa shughuli mbali mbali. Anapokea order za watu mmoja mmoja, group, za dini zote, na corporate events.IMG_6557Vincent  ni mume wa Eddah, naye alikuwepo na kushiriki maandalizi yote ya shughuli hiyo.IMG_6630                                                 Gatty Gachuma na mumewe

IMG_6594                                            Elvis Saria na mkewe LuluIMG_6622IMG_6599IMG_6613IMG_6518IMG_6487Hongera sana Eddah kwa kazi nzuri. Picha zote kwa hisani ya Vijimambo Entertainment

6 thoughts on “Black & White party by Eddah Elegant Catering”

  1. Thanks alot Alpha Igogo, I thank God, and I thank my Father and mother for the best they put on me,God bless them

Leave a Reply