Category Archives: Relationship

“Omba Mungu akukutanishe na patna ambae atapenda kubeba majukumu yake ipasavyo”-Joyce Kiria

fb_img_1476102657348Omba Mungu akukutanishe na Patna ambae atapenda kubeba majukumu yake ipasavyo… Siyo mpaka umkumbushe wajibu wake, Eti umsukumesukume kulipa bili za mahitaji ya nyumba!! Real????, jamani wengine hawana kasumba ya kuombaomba, so anakuangalia tuu kwa dharau jinsi unavyojitoa fahamu kutohudumia nyumba yako mwenyewe….. Omba upate Patna ambae asipohudumia familia yake kwa changamoto za maisha anakosa Amani moyoni mwake, lakini anapambana kufa na kupona ili avae majukumu ya familia… Mtu Huyo atakuwa anakupenda na anaipenda familia kwa dhati… Vinginevyo ukiangukia kwa anaejifanya hana, akipata hujui asipopata hujui utapaukaaaa kwa kubeba majukumu ya nyumba peke yako… woooiiiiii Ngachokaaaaaaaa????