Category Archives: Uncategorized

Happy 39th Wedding Anniversary to my darling parents!

FB_IMG_1439831779448Shout-out to the world most beautiful couple! Wishing a very happy 39th Wedding Anniversary to my darling parents mama na baba Alpha ?sounds selfish huh!? 2015-08-17 12.19.14The world has changed, marriage is no longer like they way it used to be! Nowadays it’s very rare to see couples that have been married for more than 25 yrs. I consider myself one of the few  blessed children in this world because I’ve had the pleasure of intimately seeing, knowing, and experiencing a couple who firmly committed to one another and have far exceeded the quarter century mark. And that couple is my parents! May you live long to see your 100th anniversary!!FB_IMG_1439831798805Happy 39th Wedding Anniversary mommy and daddy! Love you mingi mingi ??

Kutoka Facebook

255686634740Leo ni Jumatatu ndo tumeanza juma lingine la mahangaiko ya kazi na mambo mengine katika jamii. Basi nawaletea hii picha ya mdogo wangu anaye nifuata mara ya pili. Kikazi zaidi ? yeye ni Advocate and certified Government Arbitrator……………..haya muwe na week njema.

Hot shot of the day!

12697799885Awii! I MAY NOT BE PERFECT BUT WHEN I LOOK AT HER I KNOW FOR SURE I GOT SOMETHING IN MY LIFE PERFECTLY RIGHT!! 12697799885-1#MyChild  #MyFirstBorn  #MyNumberOne  #MyDaughter  #MyOnlyOneChild  #TheChildOfMyVigorousYouth  #TheFruitOfMyWomb  #MyFirstAndLastBorn  #MyAlphaAndOmega  #MyStrength #MyComforter #MyJoy #MyHappiness  #MySunShine  #MyGirl’sPower  #MyFuturePhysician #MyPride   #TheQueenOfMyHeart  #MyEverything  and I love her to death!! May Almighty God continue to protect you, bless you with happy-healthy life and give you all desires your heart in His name I pray. Amen! ??? I am blessed and forever grateful!

“Your love is my love, my love is your love” has been our favorite song of all time! Whenever she misses me she will call me and let me listen to this song!

“I was only 22 yrs old when learned I was living with HIV”-Fortunata Kasega

Fortunata Photo_5_1Je ulishapata kusikia life story ya ndugu yetu (Mtanzania mwenzetu) Fortunata Kasega ambaye aligundulika akiwa na HIV akiwa na umri wa miaka 22? tena baada tu ya kuolewa na kupata ujauzito? Alikuja Marekani na ndipo walipo ngundua kuwa ana HIV! Continue reading “I was only 22 yrs old when learned I was living with HIV”-Fortunata Kasega

Family time

FB_IMG_1438806697468Yani Mungu pekee ndiye anaye jua furaha niliyo moyoni mwangu baada ya kuona hizi picha. Kwakweli mwacheni Mungu aitwe Mungu aibegoooo! Pichani ni Dr. Elizabeth Daniel Oming’o  (mwenye yellow top) pamoja na watoto wake Alpha (yap! Wajina wangu huyo japo yeye mwanaume), na Asfda. Kulia ni Jane Daniel Oming’o au Mrs Ngereza.  Continue reading Family time

Nawatakieni weekend njema na Shukran!

IMG-20150813-WA0001Mungu yu mwema sana mdogo wangu  ☝anaendelea vizuri kabisa na pia baby Georgina Faith ? (picha ya cute Georgina Faith ni ya last month kabla ya surgery) anaendelea vyema. Shukran kwa  dua na sala zenu. Ahimidiwe Mungu Baba muumba wa Mbingu na inchiFB_IMG_1439592095277-1Mungu awabarikiwa na atulinde sote. Muwe na weekend njema sana and Happy Sabbath to my fellow believers!

 

Happy 8th Birthday Marion Mley

2015-08-11 23.21.08Napenda kutaka mrembo wetu Marion Mley kheri ya siku ya kuzaliwa kwake. Marion ametimiza miaka 8 siku ya leo. Tunaomba Mungu aendelee kumlinda, ampe afya njema, upendo, amani, furaha, na hekima katika maisha yake.  Continue reading Happy 8th Birthday Marion Mley

Mother and daughter moment

FB_IMG_1438805421614Hahaha! I love this picture. Mama Ngonyani and gorgeous daughter Cynthia. So nice, enjoy motherhood mama Ngonyani. Mbarikiwe sana.

Prayer dedication!

IMG-20150811-WA0000Please remember my cute babysister in your prayers. she’s not doing so well, right-now she’s admitted and undergoing some treatment at Muhimbili Hospital.

Plus  don’t forget the Nyongos’ family. Baby Georgina is out of the hospital and doing well. But more prayers are needed for speedy recovery!

May the healing hand of God be with all children and everyone who is suffering at this moment in Jesus name, Amen!

Hot Shot of the day

FB_IMG_1438805389860Mwaju, my friend, longtime neighbor product za Mgulani  Primary school ? watoto wa Mwl. Mwailafu siye lol! Kapendeza sana na batiki yake plus minimum makeup!

Heshimuni Wanawake enyi Mbuluraz!

Hapa duniani naweza sema 99% tumezaliwa kwa mfumo mmoja tuu (1% nimeacha kwa wale wanao pandikiza mimba kutumia utaalamu wa kisasa). Lakini kwa 100% bila shaka yoyote nasema kuwa wote tumekuja hapa dunia kwa kutumia mwili wa mwanamke! Hivyo kama ni mtu mwenye akili timamu unaweza ona ni jinsi gani mwanake anaumuhimu sana katika dunia hii! Yani hata kama technology itakuwa advanced kiasi gani katika maswala ya uzazi lakini bado mwanamke atahitajika tuu!! Na ndio maana inchi zinazo litambua hilo wanaweka sheria kali za kumlinda na kuheshimu mwanamke. Continue reading Heshimuni Wanawake enyi Mbuluraz!

Happy birthday Mama Manongi!

11210487_1119317438085370_8275898806121789442_nHappy belated birthday mama Manongi; Mungu akubariki sana akupe maisha marefu, yalio jaa upendo, amani, na afya njema. Continue reading Happy birthday Mama Manongi!

Family time-the Lyimos’

FB_IMG_1438807304740Picha nzuri sana ya familia safi sana ya Mr and Mrs Lyimo. Wanafurahia summer na wanao ndani ya San Francisco, California  2015-08-09 09.58.55Mbarikiwe sana wapendwa and enjoy your summer!

Saratani ya Shingo ya Kizazi

Saratani ya shingo ya kizazi ni saratani ambayo hutokana na mabadiliko ya mfumo wa chembechembe au cells zilizoko  katika shingo ya kizazi.Mabadiliko haya hupelekea chembe chembe hizo kushamiri na kuzaliana kwa kasi kinyume na mpangilio wa maumbile.

Saratani ya Shingo ya kizazi yasemekana kuwa ni saratani ya nne inayoongoza kwa kusababisha vifo vya  wanawake katika nchi zinazoendelea. Repoti ya 2012 ya shirika la afya duniani ‘WHO’ imesema kuwa,kati ya matukio 75,000 ya waathirika wa saratani ya kizazi barani Afrika, 50,000 walifariki dunia.Namba za matukio haya zinawakilisha waathirika waliopata fursa ya utafiti na kuhesabiwa.

NINI KISABABISHACHO SARATANI YA SHINGO YA UZAZI?

Ripoti za utafiti wa kisayansi zimeafiki kuwa asilimia 99%  ya saratani za shingo ya kizazi hutokana na maambukizi ya virusi vya ‘Human Papillomavirus’ au HPV vilivyoko katika jamii ya papilloma. Baadhi ya virusi hivi vyenye aina zaidi ya mia moja huambukizwa kwa njia ya  kujamiana.  Soma zaidi

Nawatakieni weekend njema + prayer dedication

Wapendwa wasoma wangu, nawatakieni weekend njema, iliyo jaa upendo, amani, na furaha tele! Mbarikie wote katika jina la Bwana! Nyongo's familyPia naomba tukumbukane katika sara zetu, haswa naomba muwaweke my dearest friends (the Nyongos’) kwenye sara na dua zenu. Mtoto wao mdogo amefanyiwa surgery ya kichwa (aliye bebwa na mama yake). Lakini Mungu yu mwema, anaendelea vizuri sana kwasasa japo bado wako hospitali. Kwahiyo wapendwa muwakumbuke sana katika maombi yenu.  Fina With Georgina FaithSijaweka picha ya surgery ya mtoto kwasababu sina huwakika kama ni sahihi kuiweka. Nitaongea na wazazi kwanza wakiniruhusu nitashare nanyi hapa.

Fina and Aidan, God will never give you a storm that you cannot handle! Alijua, anajua, na anaelewa kuwa haya mnayopitia mtayaweza kuyamudu kwani nyinyi mnamuamini na kumtegemea yeye peke yake!! As once I told my cousin-sister Anna Nyaronga that God always chooses the strongest among us to handle the biggest storm! Anajua siye wengine ni dhahifu  na wanyonge, wepesi sana wa kukata tamaa, anataka tujifunze kutoka kwenu nyie mlio mashujaa wa imani. Hivyo msifadhahike myoyo  just keep your faith and He’ll surely show you He’s God the author and creator of this world! Don’t tell God how big your storm is because nothing is too big for Him to handle!

Weekend njema wapendwa…….Our God is awesome!

Hot shot of the day

FB_IMG_1438963514104-1Dr. Magufuli akiendeleza mila na desturi ya muziki wa Mtanzania. Nice!

Re-post: Tulinde na kuheshimu watoto!

37fb5fcf6862e8593c7aa1d1cc2db4f1Kusema kweli nimesikitishwa sana na kitendo cha baadhi ya Watanzania kumdhalilisha mototo wa Flora Mbasha. Naomba niseme mimi binafsi simjui Flora wala mumewe-Mr. Mbasha, na wala sijawahi kusilikiza nyimbo zake. Nilitokea kujua habari zake kipindi walipo kuwa na migogoro katika ndoa yao. Hapo ndipo nilianza kusoma habari zake na kuangalia mahojiano kadhaa ambayo alikuwa amefanya huko nyuma na baadhi ya TV shows. Hivyo ninayo andika hapa si kwamba namfahamu Flora au mumewe la hasha! Ni kwasababu ndivyo inavyo takiwa tufanye.

Kutokana na maneno ya watu kuwa huwenda huyu kichanga aliye zaliwa yawezekana asiwe mototo halali wa ndoa ya Flora na muwewe Mbasha kwa kuwa ndoa yao inamigogoro na kwa sasa wametengana. Basi wengi wamehoji nani ni baba halali wa mototo huyo. Cha kusikitisha zaidi wamenda mbali na kuweka picha yenye sura ya Flora, Mbasha (mume halali wa Flora), Gwajima (mtu anaye semekana ni Mchungaji na pia ana sadikika kuwa ndiyo baba wa mototo huyo), masikini piya sura ya kichanga hicho nayo imewekwa! Watu wote, wa mama kwa wababa, wakaka na kwa wasichana wote wanaandika comments za kudhihaki na kukebehi chini ya picha hiyo. Hizo comments nyingine zimewalenga wazazi, zingine zimewalenga washtumiwa, na zingine zinamlenga mototo huyo moja kwa moja! newborn-baby-african-american-black-25222751Mimi binafsi, nalaani vikali kitendo hicho cha kumdhalilisha mtoto wa Flora. Nakiita ni kitendo cha kinyama na ukatili wa hali ya juu. Children should be protected, and treated with the highest respected level of humanity regardless of how they entered this world!! Si Yesu ndio aliyesema “waacheni watoto wote waje kwangu maana ufalme wa Mbingu ni wao?!” Yesu hakubagua watoto, aliwaita wote kwake, sasa kwanini sisi tunabagua watoto? Matter-of-fact, children should never be the victim of their parents’ wrong deeds! Haijalishi mimba yake ilitungwa na wababa wawili, au ilitungwa mbele ya Madhabahu, au Msikitini, au ilitungwa kwenye majani porini, it doesn’t matter, and it should never matter; watoto wote wanatakiwa kulindwa na kuheshimiwa period!

Ni jukumu letu sote kama raiya wa hii dunia kulinda na kuheshimu watoto. Nandio maana nimeamua kuliongelea swala hili kwa uwazi katika blog hii. Hapa machozi yananitoka. Ndiyo, nalia! Kwasababu kwanza mimi ni mama, hivyo mototo huyu anaweza kuwa mwanangu wa kumzaa, au mjukuu wangu. Mimi ni dada, hivyo mototo huyu angeweza kuwa my niece or nephew! Jiweke kwenye miguu ya Flora, jaribu kuvaa viatu vyake kwa dakika moja, je ungekuwa wewe ungejisikiaje kuona mototo wako ambaye ndo kwanza amezaliwa katika hii dunia, hajui hata “social media” anadhihakiwa, na kudhalilishwa kwa namna hii?! Je, wewe ni mkamilifu? “Na asiye na dhambi awe wa kwanza kurusha jiwe!” Mungu atusamehe kwakuwa hatujuli tulitendalo. Tulinde na Kuheshimu Watoto. new_baby_card_9Sing along with me…………….

Jesus loves the little children………..All the children of the world
Red and yellow, black and white………They’re precious in his sight
Jesus loves the little children of the world

Jesus cares for all the children……….All the children of the world
Black and yellow, red and white……..They’re all precious in His sight
Jesus cares for the children of the world

Jesus came to save the children………All the children of the world
Black and yellow, red and white………They’re all precious in His sight
Jesus came to save the children of the world

The world will not be destroyed by those who do evil, but by those who watch them without doing anything.”-Albert Einstein

Hot shot of the day

2015-08-06 00.37.33The Gachumas’! Sister-sister! Beautiful Eddah Mwita Gachuma (left) owner of Eddah Elegant Catering with her cute elder sister Gatty Mwita Gachuma. 11011647_447447595430980_4563369154803386768_nSister Eddah ni mpishi mmoja mzuri sanaaaa yani anatingisha jiji la Maryland au niseme DMV yote! Ndo hapo ujiulize Mkurya kajifunzia wapi kupika 🙂 🙂  Yani vyakula vyake ni vitamu vyenye ubora wa kimataifa, halafu sasa anajua ku-present her food! Jinsi anavyo kipamba na usafi wa hali ya juu utapenda mwenyewe! Wamarekani wanaweka order za kupikiwa kwenye events zao kubwa kubwa, anapikia ubalozi, na international organizations zingine zikiwa na function.

Jinsi anavyo vuma ilibidi nimtafute nikafanya mahojiano naye ilikujua alijifunzia wapi, na nini future ya Eddah Elegant Catering. Siku yakiwa teyari nita-share nanyi humu. Ila inabidi mnivumilie kwani Editor kabanwa sana na ukiongeza na maringo ya Kihaya inabidi niwe mpole mwenyewe 🙂 🙂 🙂 msihofu, vitu vizuri havihitaji haraka!

Kuona sample ya vitu anavyo fanya ingia hapa

Da Eddah vyakula vyako nitakula sana tuu kwani ni vitamu mmno ila gari lako sipandi ng’o! Kufa sijafa lakini chamoto nilikiona 🙂 🙂 🙂 🙂

 

 

Afya ya meno: Dr. Talib Ali wa Avatar Dental Care

Dr. Talib Ali ameshauri  kutumia Sensodyne kuwa ndiyo dawa bora. Jamani hata mie nashuhudia hiyo ndiyo dawa pekee ambayo mie natumiaga. Nilishauriwa nilipo kuwa Bongo miaka mingi sana pale Muhimbili kwasababu dawa zingine zinaniumiza sana meno yangu. Nashukuru Mungu imenisaidia sana na siwezi tumia dawa nyingine!

Maji ya bomba mie yamenishinda  jamani, radha yake ni shidaaa! Lakini kumbe ndiyo mazuri………….interview nzuri sana, chukua muda wako kuangalia wala huta juta!

Happy 4th birthday George Jr

2015-08-05 22.49.10Happy belated 4th birthday Jr! I hope your birthday cake was 4 times bigger than the biggest cake in the world with four big-brightest candles to blow out ? wishing you nothing but the best of all! 2015-06-24 21.02.02Our little G boy turned 4 today(August 3rd). We remember the first time we saw him, that is the moment when reality hit: We’ve created a little being and he’s growing inside me at this very moment. There is no greater, scarier feeling except for when that little being is born. That feeling intensifies ten-fold. It’s amazing to watch this beautiful little boy grown from a tiny little infant to the independent little boy he has become. In the blink of an eye, our little man turned One, then Two, then Three. Today he’s Four! What happened to our baby? We can do nothing to stop the time from passing, but we know that I can cherish every moment he is learning, growing, loving, caring, playing, exploring, and smiling. Happy birthday G Boy. We ♡ you and hope that someday you can experience as a parent the magic, wonder, excitement and endless unconditional love you have brought to our lives. ‪#‎ThankyouLordforYourBlessings‬#………………….what a loving msg from mama and baba ‘double G’! God keep blessing you guys  ?

N.B: all photos credit to E.M photography