Family time

FB_IMG_1438806697468Yani Mungu pekee ndiye anaye jua furaha niliyo moyoni mwangu baada ya kuona hizi picha. Kwakweli mwacheni Mungu aitwe Mungu aibegoooo! Pichani ni Dr. Elizabeth Daniel Oming’o  (mwenye yellow top) pamoja na watoto wake Alpha (yap! Wajina wangu huyo japo yeye mwanaume), na Asfda. Kulia ni Jane Daniel Oming’o au Mrs Ngereza. FB_IMG_1438806648567Jane ? yeye anaishi UK pamoja na familia yake. Ila kwa sasa yupo Tanzania kusalimia ndugu, jamaa, marafiki, pamoja na kuhani msiba wa mama yake kipenzi Zilpha Oming’o (may she countiue to R.I.P).  FB_IMG_1438806657057Nimefurahi sana kwakweli, ngoja niwasindikize na wimbo huu hapa ?

Leave a Reply