Happy 8th Birthday Marion Mley

2015-08-11 23.21.08Napenda kutaka mrembo wetu Marion Mley kheri ya siku ya kuzaliwa kwake. Marion ametimiza miaka 8 siku ya leo. Tunaomba Mungu aendelee kumlinda, ampe afya njema, upendo, amani, furaha, na hekima katika maisha yake.  2015-08-11 23.17.03Marion yeye anaishi Dar es salaam, Tanzania pamoja na wazazi wake. Mbarikiwe sana wazazi, mlee mtoto wenu na muwe na maisha marefu kuona matunda ya uzazi wenu. Happy 8th birthday Marion much love from Kalamazoo,  Michigan ??

2 thoughts on “Happy 8th Birthday Marion Mley”

  1. happy birthday My daughter Marion.Mwenyezi Mungu akupe umri ukiwa mwenye afya njema na furaha tele,tunakupenda sana.Mama MARION from salasala dar-es-salaam

Leave a Reply