Nawatakieni weekend njema + prayer dedication

Wapendwa wasoma wangu, nawatakieni weekend njema, iliyo jaa upendo, amani, na furaha tele! Mbarikie wote katika jina la Bwana! Nyongo's familyPia naomba tukumbukane katika sara zetu, haswa naomba muwaweke my dearest friends (the Nyongos’) kwenye sara na dua zenu. Mtoto wao mdogo amefanyiwa surgery ya kichwa (aliye bebwa na mama yake). Lakini Mungu yu mwema, anaendelea vizuri sana kwasasa japo bado wako hospitali. Kwahiyo wapendwa muwakumbuke sana katika maombi yenu.  Fina With Georgina FaithSijaweka picha ya surgery ya mtoto kwasababu sina huwakika kama ni sahihi kuiweka. Nitaongea na wazazi kwanza wakiniruhusu nitashare nanyi hapa.

Fina and Aidan, God will never give you a storm that you cannot handle! Alijua, anajua, na anaelewa kuwa haya mnayopitia mtayaweza kuyamudu kwani nyinyi mnamuamini na kumtegemea yeye peke yake!! As once I told my cousin-sister Anna Nyaronga that God always chooses the strongest among us to handle the biggest storm! Anajua siye wengine ni dhahifu  na wanyonge, wepesi sana wa kukata tamaa, anataka tujifunze kutoka kwenu nyie mlio mashujaa wa imani. Hivyo msifadhahike myoyo  just keep your faith and He’ll surely show you He’s God the author and creator of this world! Don’t tell God how big your storm is because nothing is too big for Him to handle!

Weekend njema wapendwa…….Our God is awesome!

2 thoughts on “Nawatakieni weekend njema + prayer dedication”

Leave a Reply