Happy birthday Mama Manongi!

11210487_1119317438085370_8275898806121789442_nHappy belated birthday mama Manongi; Mungu akubariki sana akupe maisha marefu, yalio jaa upendo, amani, na afya njema. 11755908_1168553106495136_510318589264588647_nJamani sijuwi nianzie wapi kumzungumzia huyu mama yangu jamani! Ooh Lord! Yani ni Mungu pekee ndiyo anejua jinsi ninavyo mpenda na kumthamini huyu mama! Ni mama mwenye upendo, yani akiongea na wewe sauti yake tuu nikielelezo tosha cha upendo wake! Ubarikiwe sana mama yetu. FB_IMG_1439137950453Mama Manongi kwa wale wasio mjuawa ni mama yake mzazi na my dearest brother Noah Manongi. Wanasema ndugu sio lazima mchangie damu, bali ni mnavyo ishi, basi ndio undugu wangu ulivyo na kaka yangu Noah! FB_IMG_1439135433239Undungu wangu haukuishia  kwa kaka yangu na mkewe tuu,  uliongezeka na kuimarika sana pale wazazi wake Noah walipokuja kutusalimia  Kalamazoo, Michigan. Kama sikosei ilikuwa mwaka 2010.  Nami mwaka 2013 nilipo kuwa Tanzania nilienda kuwasalimia kama picha inavyo onekana. FB_IMG_1439135459805Mama Manongi, naomba niseme asante sana kwako wewe na familia yako yote kwa upendo mkanipokea jinsi nilivyo na kunifanya mmoja wa familia yenu! Mungu awabarikiwa sanaaaaaa mpaka mshangae ? IMG-20150809-WA0000Sisi hapa, simnatuona eeh ? Mwanangu mie, malkia wa roho yangu (kushoto), mimi (mtu kati), na my lovely brother Noah Manongi
FB_IMG_1439137976285Baba, mzee Manongi Mungu akubariki sana and kiss mama Manongi for me ??

Special song to her:

2 thoughts on “Happy birthday Mama Manongi!”

Leave a Reply