Family time-Wahayaz ??

FB_IMG_1448805080155Hapa nimesema “Wahayaz” lakini sio wote ni wahaya ila kwasababu kuna mtani wangu hapo ndio maana ?  FB_IMG_1448805075072FB_IMG_1448805070493FB_IMG_1448805064423Hapa kwenye picha hizo juu ☝☝ ni cousin-sisters, brothers na friends walikusanyika kufurahia na kushiriki kula chakula pamoja siku ya Thanksgiving. Kwasisi tulio mbali na familia zetu inakuwa ngumu kujulikana nao katika siku muhimu kama hizi. Lakini tukumbuke kuwa mwana familia wako anaweza kuwa mtu yoyote yule ambaye mmeshibana sana sio lazima awe ndugu wa damu au ukoo mmoja!…..mbarikiwe sana wapendwa!

Leave a Reply