Foster Collection

fb_img_1480101387698-1 fb_img_1480101427683-1 fb_img_1480101418506 fb_img_1480101409488Wapendwa hii Foster Collection itakuwa inachanganya viwalo / mavazi tofauti ya  Foster na mambo mengine ambayo yeye Foster anayapenda na angependa kushea nanyi. Kama mmeona jana Jokate Mwegelo kasema Diva2006 ndio mahala pake pakuchagua viwalo basi hivyo ndivyo nitakavyo fanya kwa Foster. Nitawaletea mambo tofauti na recommendation zakefb_img_1480101297392 fb_img_1480101291183 fb_img_1480101283601 fb_img_1480101275328 fb_img_1480101259314Mimi binafsi sitakuwa na specific place; bali kama nikitaka kununua bidhaa au kushona nguo hapo Bongoland basi nitakwenda kwenye maduka ambayo yatakuwa recommended na hawa wadau wangu halafu nita share nanyi. Uwamuzi wa wapi kwenda utafanya wewe mwenyewe. Mimi kazi yangu ni kukuonyesha sehemu utapata vitu vyenye ubora wa kimataifa kutoka kwa watu nilio waamini na hawata niangusha fb_img_1480101229249 fb_img_1480101209480 fb_img_1480101188085Huu upendeleo ni kwa watu wachache sana lakini ni muhimu kwa hii blog. Niwatu ambao  siyo tu nimewachagua kiholela holela hapana! Yani hata wewe utawakubali. Sitaji majina yao lakini utawajua tu siku zinavyo kwenda….. Hili zoezi nitafanya hata kwa wauza maandazi, vitumbua, na chapati hapo Bongoland yani wale mama ntilie ili ujue ukiwa mjini na hauna hela ya kula 5*hotel wapi pakwenda. Kama unataka viwalo vizuri wapi pakwenda.fb_img_1480101345861fb_img_1480101339875 fb_img_1480101330929Basi siku si nyingi nitawaambia ni wapi Foster ananunua vitenge vyake na nani huwa anamshonea. Hata kama wako kumi nitaweka list yao hapa wewe ndio utachagua wapi pa kwenda.

Leave a Reply