Happy Mother’s Day to all mothers

FB_IMG_1431032618796Napenda kuchukua fursa hii kuwatakia Furaha ya Sherehe ya Wakina Mama duniani kote. Mimi binafsi nashukuru sana Mungu kwa kunipendelea kuwa mmoja wa uzao wa tumbo la mama yangu. Naamini nisinge kuwa hapa nilipo kama si kwa maombi ya kila siku kutoka kwa mama yangu, ambayo huniombea kwa Mungu bila kuchoka.

2015-05-07 17.00.27

Mama nasema asante sana. Nakuombea maisha marefu, yenye furaha na amani zaidi ya uliyo nayo. Nakupenda sana mama yangu.

FB_IMG_1431032101193Prisca (Ls) ni rafiki yangu tulisoma wote secondary, hapa alikuja nyumbani kunisalimu toka Mwanza ambako ndipo anapoishi. Asante Prisca nawe nakutakia Happy Mother’s Day.

2015-05-09 20.23.10

Nani kama mama? !

2015-05-09 20.24.41Hapa ilikuwa siku ya birthday yangu na tulikuwa tunaelekea kwa dinner.

2015-05-09 20.30.27Nakushukuru sana mama yangu, si tuu kwa kunilea mimi kama mwano bali pia kwa kunisaidia kwa malezi ya mwanangu.

2015-05-07 17.06.06Happy Mother’s Day to all mothers in this world!!

Leave a Reply