Hongera Martha Charles Igogo

fb_img_1480259794368Hongera sana mdogo wangu kwa kupata degree yako ya kwanza. Kwakweli tunahitaji Accountants wengi kwenye huu ukoo. Nafurahia kuona umechagua  chaguo jema kama la mzee William na your sister Akinyi lol! Nakuomba ufanye kazi kulingana na miiko ya fani yako, na maadili ya mpendezayo Mungu…..msalimie my cousin-brother
fb_img_1480259789902Hongera pia kwa rafiki yako. Haya mfanye sasa Masters na CPA.
fb_img_1480259782483 Huyu Lawyer naye kapotelea wapi siku hizi? mpe salamu fb_img_1480259772551Thank you ladies for making us proud! Akili za ukoo wetu hizo, ni ukoo ulio barikiwa na Mungu ?? wenye wivu wajinyonge tu  maana hamna namna ??

Leave a Reply