Hongera sana Mh. zitto Kabwe!

FB_IMG_1464114185030Hongera sana Mtani wangu Muheshimiwa Zitto Kabwe! Hayawi hayawi sasa yamekuwa! Haya wadada wa mujini heshima na itifaki lazima mzingatie ee!………. Halafu mmeona alivyo mzuri? FB_IMG_1464114180778Sasa wee mtani wangu, kwani hata zile tamthilia za “Bongo movies” huwa huwangaliagi?! Siunaonaga wenzako wanapiga magoti au hii ni kibongo bongo? Mwe! Wee Muha acha vituko ?? FB_IMG_1464114227451Hongereni sana. Tunawatakia maisha mema, ndoa njema, na mpendane milele zote.

Leave a Reply