Hongera sana mwanangu Daniel

IMG-20150927-WA0020Hongera sana mwanangu kipenzi kwa kumalizia darasa la saba na zawadi nyingi za uwanafunzi bora. 2015-09-27 18.19.31Wow! Very happy and proud of you Daniel. Ubarikiwe sana na uwendelee hivyo hivyo mpaka utakapo maliza elimu ya juu kabisa ambayo Mungu ataona inakufaa! 2015-09-27 18.07.24Wazazi wazaa “njembe bora” nao hawakutaka kupitwa na tukio hili muhimu kabisa la mtoto wao mpendwa, mtoto wao wa kwanza. 2015-09-27 18.10.33Mdogo mtu naye hakutaka kupitwa. Alihakikisha anakuwepo ku-show love kwa kaka. Umefanya vema Chaulo nawe utafuata tabia ya kaka. Kama kaka alivyo fuata toka kwa baba. 2015-09-27 18.14.19Kazi njema sana mwanangu, hongera hayo ndo maneno ya mama mzazi kwa mwanawe.  2015-09-27 18.15.26 Hiyo cake jamani tubakishiane ibegoyoo ? 2015-09-27 18.20.50Hongera sana Daniel. Ubarikiwe mno. Pia hongereni wazazi kwa kulea mtoto vyema.

Leave a Reply