Hot shot of the day

FB_IMG_1458631238733Haijalishi unatoka wapi bali unapokwenda. Nyota njema huonekana asubuhi na hung’aa gizani!! Mungu mjalie huyu mtoto ili kesho aweze kutoka katika mazingira haya yaliyo duni. Mjalie awe kiongozi mkubwa popote pale atakapo kuwa. Akafundishe watu elimu ya dunia na elimu ya kimbingu. Akatawale tawala zote za inchi atokayo. Katika jina la Yesu, Amen!

Leave a Reply