Hot shot of the day

Screenshot_2016-01-24-11-04-51-1Mr and Mrs Mali Kimesera. Naipendaje sasa hii  couple ?? Wamependeza sana. Hapa ni jana wakiwa katika charity event huko Atlanta, Georgia a.k.a “Hotlanta” Georgia.  Safi sana LB na Manager wake mnafanya kazi nzuri mno. Great example to many couples. Mbarikiwe sana.Screenshot_2016-01-24-11-01-32-1Huyu #KichunaWaKizaramo unajua ni level nyingine kabisa! Hiyo nguo aliyovaa Missy LB ni kashona mwenyewe designer wetu waukweli ?  soma hayo maneno aliyo andika basi kama uwamini……… Screenshot_2016-01-24-11-05-24-1Nahivi ndivyo ionekanavyo kwa nyuma. Hongera sana #KichunaWaKizaramo Mungu akujalie ufike mbali zaidi. Pia hongera kwa shemeji yetu kwa kuwa Manager mzuri. Mbarikiwe mno ?

One thought on “Hot shot of the day”

Leave a Reply