Kutoka Facebook

Screenshot_2016-08-16-22-51-05-1Ms LB wakati wa uzinduzi wa clothing line yake mpya itakayo kwenda kwa jina la IDE`AL. Kwenye hiyo clothing line mpya ameshirikia au kuungana katika biashara hiyo na mwanadada machachari sana hapo jijini Atlanta ajulikanae kwa jina la KK. Ambaye pia ni host wa talk show ya Queen Karen King show, na ni mmoja wa wahusika wakuu wa Love and Hip Hop reality TV show ya hapo Atlanta!………. Hongera sana Linda, kwakweli ni mfano mzuri sana wa kuigwa! Uwende mbele zaidi!…………….kuona picha zaidi ya tulio hili please tembelea Instagram ya LB au Facebook page yake.

Leave a Reply