Kutoka Facebook

Leo kutoka Facebook nimependa hizi picha. Hata model huwa wanapika” hayo ni maneno yake mrembo wetu Miriam Odemba akiwa ameambatanisha na picha kama hizi. Safi sana Miriam, ni mfano wa kuigwa.

FB_IMG_1429481141381

FB_IMG_1429617472799

3 thoughts on “Kutoka Facebook”

  1. Alpha, Miriam yuko wapi siku hizi? Nilikuwa shabiki wake sana enzi zake. Namchukulia kama Role Model kwa wasichana wengi. Namii nampongeza kwa mafanikio na pia kuingia jikoni pia.

Leave a Reply