Kutoka Facebook

FB_IMG_1458246337530Awii! my sweet sister! Mama Amika pendeza sana and I love what am seeing.  Mungu ni mwema sana ??  wapendwa, najua siyo wote tuna uwezo wa kutembea kila kona ya dunia hii! Ila kuna wenzetu ambao Mungu amewapa nafasi hiyo ya upendeleo basi si mbaya tukifurahia nao hata kwa macho tuu nasi tukaione dunia katika picha ???naomba utembelee blog ya www.maisafari.com ili uweze ona ukuu wa uumbaji wa Mungu! ??

Leave a Reply