Linda Bezuidenhout: I’m here screaming all the way from Atlanta to Tanzania.

Designer alieshinda tunzo nyingi sana za kimataifa hapa Marekani Ms. Linda Bezuidenhout asherekea kwa kishindo cha sauti kuu kufurahia siku ya kuzaliwa Rais wa Tanzania Mh. Dr. John Pombe Magufuli kitu ambacho kimewashangaza baadhi ya watu kuwa imekuwaje kwani yeye ni mwana Chadema damu damu!! Linda amejibu kwa kusema kuwa adui ya adui yako huyo ni rafiki yako! Embu Soma hapo chini ??

Nami nasema ni vyema sana kwa Linda kufanya hivyo kwani siasa sio chuki wala uwadui! Wakati wa campaign umeshakwisha embu watu waweke siasa chini tujenge nchi! Ameshachaguliwa ni Rais wetu tumpe ushirikiano kwa manufaa ya taifa letu. Kama hatumtaki basi usikose kwenye kupiga kura 2020……..Mungu atusaidie!

Leave a Reply