Merry Christmas wasomaji wangu!

FB_IMG_1450894061047Wapendwa wasomaji wangu, ndugu, jamaa, na marafiki. Naomba niwatakieni wote Kheri na baraka zote za siku kuu ya Noel. Muwe na siku njema yenye baraka nyingi. Uzungukwe na upendo usio kifani. Merry Chrismass to you all!?…………Mliopo Bongoland, Christmas hii mawasilino muhimu. Basi usisahau kununua vichaa zako za mtandao wa kuaminika. Halotel ni habari ya mujini na vijijini. ?

Leave a Reply