Father and daughter moment

FB_IMG_1452612053521Huwa wanasemaga “father is daughter’s first love!” Watoto wengi wakike huwa wanaangalia baba zao kama walimzidi na ngome zao. Mtoto wakike hujenga imani kwa baba yake zaidi katika maswala ya ulinzi (protection) kuliko kwa mama. They look up to their father as a “safe heaven” when feel threatened! Na siku zote huwa wakitaka kuolewa au kuwa kwenye mahusiano huwa wanajaribu kuangalia kama huyo mwanaume anatabia zinazofanana fanana na za baba yake. Kwani anataka kuhakikishiwa kuwa huyo mume will protect her na kumjali wakati wote………..hivyo basi ni vizuri kwa akina baba kuwa mfano mwema kwa watoto zao kwa kuwapenda mama zao kama wanavyo penda mabinti zao. Kwani kama wewe unataka binti yako akiwa na mume am-treat her like a queen then you need to show some examples by treating the mother of your children like a queen! Mbarikiwe sana baba na mwana.

Leave a Reply