Some of Obama and Michelle great moments

FB_IMG_14579901981612nd Inauguration day……………kumbe nao wanakunywa maji ya DASANI! mimi nilifikiri wana maji special made in WhiteHouse?? ……..haya endelea ku enjoy pichaFB_IMG_1457990274535FB_IMG_1457990306033Hahaha! ???FB_IMG_1457990245771Dont walk in front of me I may not follow! Don’t walk behind me I may not lead! Walk beside me just be my friend!!FB_IMG_1457990292079mnaona kampa jacket mkewe asipigwe na baridi eeh? what a gentleman! FB_IMG_1457990221234FB_IMG_1457990252740Nakumbuka kuna mkutano mmoja hivi wa Wasabato ulifanyika jangwani miaka ya nyuma. Basi Mchungaji mmoja (alikuwa ameletwa nafikiri kutoka America) anaitwa Phiz Henry. Katika kuhubiri kuhusu upendo akaita wazee wakanisa  wote waje mbele na wake zao. Yani ilikuwa kichekesho cha mwaka ???

  • Wengi walikuwa hawajakaa pamoja na wake zao hivyo hawakujua walipo
  • Walio waungwana walitoka kwenye viti na kuwasubiria wake / waume zao kwenye  aisle
  • Wasiojali walisonga mbele kivyao vyao
  • Mchungaji akasema kila mtu amgeukie mke / mume wake washikane mikono. Wale walioenda mbele bila kujali mke wake au mume wake amesimama wapi wakabaki wanashangaa ?? wakaanza kugeuka kuangalia wapi partners zao wapo. Kumbe Mchungaji anawachora tuu, huku washiriki wakicheka
  • Mchungaji akasema kila mtu am kiss mke wake ?? ilikuwa balaa!! Kuna waliogeuka na kumuangalia Mchungaji kama alikuwa anauwakika na alicho kisema ?? wengine walifanya kama walivyo agizwa bila shida yoyote
  • Conclusion: Upendo wa kweli uwanzia nyumbani! When you truly love someone you can’t be ashamed of them (“But whoever denies me before men I will also deny him before my Father in heaven” Matthew 10:33). Wale wanao pendana walionekana toka mwanzo. (1) kwanza wanakaa pamoja kama familia au walisubirina kabla ya kwenda mbele (2) zowezi la kumshika mkono na kumbusu mkewe alikuwa shida kwao 

FB_IMG_1457990266246lovely FB_IMG_1457990210440FB_IMG_1457990282651FB_IMG_1457990258285FB_IMG_1457990233829Obama : “unajua wanatuonea wivu hawa” ……..Michelle: “aah!” lol FB_IMG_1457990205525FB_IMG_1457990188507FB_IMG_1457990181797FB_IMG_1457990159239FB_IMG_1457990167947FB_IMG_1457990174169I love that dress!FB_IMG_1458230251563 FB_IMG_1458230273491FB_IMG_1458230244810FB_IMG_1458230259634mmh! need a shoulder to lean on Obama!
FB_IMG_1457990141805FB_IMG_1457989977983Only in America ??? hii ilikuwa hivi karibuni. Halafu angalia binti yake pamoja na Joe Biden walivyo busy na mpira wakati wenzao wako busy na kiss ?? …………….kwakweli tutawa miss wakitoka WhiteHouse ???

Leave a Reply