Happy Thanksgiving!

#TBT Holiday season 2011
#TBT Holiday season 2011

You are every reason, every hope, every joy, and every dream I’ve ever had! And no matter how old you get you will always be my precious little angel! You are my greatest gift from God! He gave me at the time even myself knew that I am empty, weak, and helpless; but I received it with thankful-heart! For that you will forever be my Thanksgiving thankful praise to God! I love you now, but tomorrow I will love you even more! Happy Thanksgiving my darling daughter ❤? FB_IMG_1448498005238Dear readers, friends, and family; wishing you all a very happy Happy Thanksgiving Day. May you all be surrounded with greatness!……..with love Alpha and Mercy!

Kutoka Facebook

FB_IMG_1448462694445-1The Dr herself! Lovely pic of Dr. Elly Kihengu all the way from Houston, Texas. So beautiful! Be blessed Dr.

Joke of the day!

FB_IMG_1448465492270?”Before the Kanu Cock crows you will deny me three time! ??   Continue reading Joke of the day!

Hot shot of the day

FB_IMG_1447967276007Wow! Ain’t they cute! So hot! I wish Miriam Odemba asiwe anavaa mawigi. Yani anapendeza sana nakipara chake! Anyway, mbarikiwe wapendwa.

Mother and son moment

FB_IMG_1448462725475Beautiful lovely picture of da Eddah Gachuma and her son Muddy! I just love it and can’t lie ?? pendeza sana. God bless you all, enjoy your motherhood da Eddah ??

Happy 5th birthday Kylee

I know I’m a minute late ? but please cutie-pie  here is my heartfelt birthday wishes to you.  May you live long to conquer the world! God bless you! Happy 5th birthday Princess aunt Alpha loves you ?? FB_IMG_1448462647926

A word of wisdom!

Steve Jobs’ Last Words: FB_IMG_1448376748043

I reached the pinnacle of success in the business world. In others’ eyes, my life is an epitome of success. However, aside from work, I have little joy. In the end, wealth is only a fact of life that I am accustomed to. At this moment, lying on the sick bed and recalling my whole life, I realize that all the recognition and wealth that I took so much pride in, have paled and become meaningless in the face of impending death. In the darkness, I look at the green lights from the life supporting machines and hear the humming mechanical sounds, I can feel the breath of god of death drawing closer……  Continue reading A word of wisdom!

Hot shot of the day

FB_IMG_1448298390367Gorgeous picture of former Miss Tanzania-UK Hawa Gwao! Inahitaji utaalam wa hali ya juu kuchana nywele namna hiyo. Hivi karibu naye atafungua blog yake ambayo itaongelea maswala mbali mbali hususani urembo wa mwili, ngozi, na nywele! Nitawajulisha akiwa tayari…………..So beautiful! Ubarikiwe sana.

Jared Fogle ahukumiwa miaka 15 na miezi 8!

rtr1gknwMahakama imemuhukumu Jared Fogle kwenda jela miaka 15 na miezi 8 na life-time supervision. Pia fedha zake zitachukuliwa na kupewa watoto ambao waliathirika naye pamoja na ex-wife na wanawe. Unaweza google hilo jina lake  na kusoma hukumu yote. Kuna baadhi ya watu ambao hawajafurahishwa na hukumu hiyo kwani wanasema alitakiwa kupewa kifungo cha maisha! Nilisha wahi andika story yake siku za nyuma, kama hukubahatika kusoma waweza soma hapa ? Mungu awalinde watoto wote na haya mapepo. Amen!

Mother and daughter moment

FB_IMG_1448298377553picha nzuri sana ya Hawa na watoto wake. Wamependeza sana na kama tujuavyo Christmas ipo njiani. Basi wao walienda kutembea mall wakakutana na Santa wakaona si mbaya kupata kumbukumbu naye! Mbarikiwe sana.

Joke of the day

My new car!!!! I got my car finally today!!

FB_IMG_1448232934078 I’m not showing off, I just want to tell you that a person should have a dream, if you try your best your dream will come true!! Don’t ask me why I chose a silver colour, it’s just easier to clean  ??? umepatikana au?

 Credit to Mombobiad

Father and son moment

IMG-20151122-WA0002Baba na kijana wake. Nawapenda sana tena sana waha watu kwenye picha. Kwamsio mjua huyu ni kaka yangu mkubwa ndo first born wetu. Hapo yupo na kijana wake anaitwa Gabriel a.k.a Gabby.  Continue reading Father and son moment

kheri ya siku ya kuzaliwa dada Hawa!

FB_IMG_1448314051071-1Kheri ya siku ya kuzaliwa dada yetu kipenzi.  Tunamshukuru Mungu kwa kukupa nafasi ya kuuona mwaka mpya wa kuzaliwa kwako. Tunakuombea akuongezee  hekima, busara, na upendo. Ukapate kuwa na maisha mema na mazuri yaliyo jaa upendo, amani, na furaha nyingi zaidi ya jana. Kheri ya siku ya kuzaliwa da Hawa. Tunakupenda ??

Family time-the Ongwelas

image-5Nawamisije marafiki zangu wa ukweli! The Ongwelas are one of my friends that are closer to my heart. Wenyewe originally ni Wakenya, lakini wanaishi Kalamazoo, Michigan. Nilishawahi andika jinsi gani nawapenda na kushukuru urafiki wao kwangu mimi na mwanangu. Unaweza soma hapa? Mbarikiwe sana wapendwa. Mungu akipenda we will see each other soon ??

Family time-the Olung’as

IMG-20151112-WA0000Nimependa picha hii ya mama na wanawe. Mwenye nguo ya orange ni mama yangu mkubwa mke wa baba yangu mkubwa Samwel-Opodi Olung’a Igogo. Na huyo wa kwanza kushoto ni binti yake wakwanza anaitwa Anyango na kulia mwisho ni kijana wake anaitwa Saronge  a.k.a Sarungi. Na huyo mwenye blue jeans mdogo wangu anaye nifuata yeye anaitwa Janeth. Naona alienda Tengeru, Arusha kumsalimia mama mkubwa ambaye kwa sasa anasumbuliwa na ugonjwa wa Kisukari and recovering from major stroke.

Nimeandika the Olung’as kuwakilisha marehemu babu yetu mzaa baba zetu. Yeye alikuwa anaitwa William Olung’a Igogo. Hivyo hao ni wajukuu wa Olung’a na mka mwana (Mamkubwa) wa mzee Olung’a. Japo kiuhalisia wote hao wana familia zao (wameolewa  na kuoa).

Mamkubwa our prayers are with you. Mbarikiwe wote.

Family time-the Sarungis

FB_IMG_1448218676759-1Picha nzuri sana, nimependa mno! Hapa ni baba akimpongeza kijana wake Peter Sarungi kwa kuthubutu! Peter Sarungi alikuwa mmoja wa wagombea walio gombea nafasi ya Uspika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania akiwakilisha makundi maalum  (walemavu). Soma hapa? Inatia  moyo, faraja, na busara ya hali ya juu kuona mzazi akimpa moyo kijana / au  binti yake kufanikisha ndoto alizo nazo. Ubarikiwe sana mzee wetu Prof. Sarungi.

Prof. Sarungi ni baba yake mdogo na Peter Sarungi  (kulia). Baba yake Peter mzee Obwago Sarungi yeye ni marehemu kwa sasa. Na kushoto ni binadamu yetu Saba-saba (Sabi) Sarungi. Yeye ni mtoto wa marehemu Saida Sarungi ambaye alikuwa ni dada yake Professors Sarungi. Saba-saba yeye alizaliwa na kulelewa ujombani hivyo ndiyo maana amerithi jina la ukoo wa mama. FB_IMG_1448218676759

Nilishawahi kuelezea huko nyuma undugu wangu na mzee Sarungi nimesahau ilikuwa nipost ipi  hivyo nimeshindwa kui-attach hapa. Kwa kifupi kama ulipitwa ni hivi; Professor Sarungi na baba yangu mzazi wamechangia babu mzaa baba zao. Baba zao wote ni watoto wa marehemu Chief Igogo isipokuwa bibi zao ni tofauti. Chief Igogo alikuwa na wake 19 ?? na kati yao mmoja ni bibi yake mzee Sarungi, na mwingine ni bibi yake baba yangu.

Okay, mbarikiwe wa ndugu ? Undugu ni hazina muhimu lakini tukumbuke undugu si kufanana undugu ni kufaana!!

A word of wisdom!

Some years back, it was the most beautiful house in this community. The owner was the richest man in whom all looked up to for support. The vehicle was a cynosure of all eyes. It was like a dream come true when the owner added both house and vehicle to his list of possession. But today, the properties have grown old and in fulfillment of the natural law, must collapse for a new house to develop.   Continue reading A word of wisdom!

Happy birthday Thanisa

IMG-20151120-WA0000-1Kheri ya siku ya kuzaliwa mdogo wetu / dada yetu / aunt yetu / mama yetu kipenzi Thanisa! Tunamshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kukupa nafasi ya kuuona mwaka mpya. Tunakuombea uwendelee kuwa na afya njema, furaha, na amani ndani ya moyo wako. Pokea salamu hizi toka kwa dada yako kipenzi Mariam, na familia yetu yote. Tunakupenda, tunakushuru sana ndugu yetu. Kheri ya siku ya kuzaliwa, ubarikiwe siku zote!

Hot shot of the day

FB_IMG_1447954166488Truly hot! Amani na Malaika wakiwa wamevalia mavazi maalum kwa jamii ya watu wa Oman. Hapa ni jana wakiwa wanasherekea miaka 45 ya Uhuru wa watu wa Oman! FB_IMG_1447954146386Kwakweli hata mwenye “kipofu wa moyo” atashuhudia kuwa wamependeza sana ?? si unajua kuna wengine myoyo yao huwa inaupofu wanaonaga mabaya tuu ?? FB_IMG_1447954133550Safi sana. Happy 45th Independence to Omanis!

Mother and son moment

FB_IMG_1447958545044Eddah Gachuma na kijana wake Muddy. Wamependeza sana,  raha t upu! Mbarikiwe sana. Muddy wishing you the best of all!

Blog