Picha nilizo zipenda siku ya leo

fb_img_1478388938281 Mwajuma na King Mswat wake ? wamependeza sana fb_img_1478388520042 Mtumishi wa Mungu, Masanja Mkandamizaji na Monica wake ……. kinyumbani zaidi! Ila hizo “Dodo” zinavutia sana, kitu organic no antibiotics fb_img_1478387886232Babybrother Mzee William and my wifi ……wishing them the best

Hivi jamani mmeshawahi kumsikia Pastor Mbaga? Kuna video fulani nimeshindwa kuipata YouTube ambayo aliuliza wana ndoa;  kama Mungu Yehova akashuka leo na kusema ndoa zote zilizo fungwa kuanzia leo nimezivunja akawapa watu nafasi ya kuchagua mwenza mpya. Je wewe utarudia kumchagua mke/ mume uliye naye sasa??? ????……..haya sikiliza hiyo hapo juu anaongelea lugha tofauti kati ya mwanamke na mwanaume.

Leave a Reply