Please Vote for Lemutuz: the best education page on Insta

screenshot_2016-11-24-11-15-52-1screenshot_2016-11-24-11-15-30-1screenshot_2016-11-24-11-15-36-1-1Tafadhali tumpigie kura nyingi sana Lemutuz! Ukweli kabisa hakuna kama yeye kwenye Instagram!! Unaweza usikubaliane na life style yake lakini huwezi kupinga ukweli kwamba ni Akili kubwa sana!! Mie sio mpenzi wa Insta lakini kuna watu wachache wanaonifanya niende huko nikitaka vitu vizuri vya kushare nanyi na my kaka Lemutuz. Le Akili Kubwa ni mmoja wao! Please vote for him! Btw, who still buying newspapers nowadays?!! They are too expensive na pesa hakuna simnajua baba yangu Dr. Magu kabana hadi penati ?? yani Social media ndio mambo yote. Na kikubwa sana ninachompendea Lemutuz ni mambo ya FACTS!! Yani yeye huwa hana longolongo na majungu yeye ni mzee wa FACTS! Please give him a big Vote, you know, I’m humbled ?? ??

Leave a Reply