Rafiki wa kweli ni kama Almasi

Screenshot_2016-03-20-12-11-15-1Nimependa sana ujumbe huu toka kwa Foster Mbuna Mkapa kwenda kwa marafiki zake Anna and Gertrude. “Harmony prevails in the hearts of those who are filled with the music of friendship”. Wale walio jaliwa kupata marafiki wa kweli ndio watakao elewa na kuguswa na ujumbe huu!! Nashukuru Mungu kwani mimi nimebahatika kuona na kuonja upendo wa marafiki wa kweli-Ni mtamu sana!……..Hawa ni marafiki toka secondary hadi leo hii ??FB_IMG_1458493911617Mpendwa, kama umebahatika kupata rafiki wa kweli basi nakusii mshike kwa mikono yako yote miwili. Muweka ndani ya moyo wako siku zote kwani ni Almasi ambayo haipatikani kirahisi rahisi na haipo kila mahali!! Nakama bado hujabahatika basi Muombe Mungu akujalie kupata angalau mmoja. Utakuja ushuhudie kama sisi tunavyo shuhudia……….. btw, hii ilikuwa birthday ya Anna na Gertrude, hivyo ni vyema nikawatakia kheri ya siku za kuzaliwa kwao. Mbarikiwe sana.FB_IMG_1458490216003-1Mmependeza sana wapendwa. Wadada wa nguvu mbarikiwe sana kwa kuwa mfano mzuri kwa jamii yetu………… Foster asante sana kwa picha. Ubarikiwe sana

Leave a Reply