Repost: Janeth’s birthday wishes!

Tunapenda kumtakia kheri ya siku ya kuzaliwa kwake Mwanasheria aliyetukuka Janeth O.O. Igogo. Tunamuombea maisha marefu yaliyojaa amani, furaha, upendo, na afya njema. Happy birthday Lawyer!   FB_IMG_1470766921095Umependa “kiwalo” chake? Basi wasiliana na Edna Silver wapo Sinza kumekucha. Au unaweza wapata kwa namba hii kwa kupiga simu au watsapp 0715782784

Leave a Reply