Selena Gomez:”….I had everything and I was absolutely broken inside….. I’m not trying to get validation, nor do I need it anymore”!!

“In 2014, this stage was actually the first time that I was authentically, one hundred percent honest with all of you. I think it’s safe to say that most of you know a lot of my life, whether I like it or not, and I had to stop, ‘cause I had everything and I was absolutely broken inside. And I kept it all together enough to where I would never let you down, but I kept it too much together to where I let myself down. 
0514_selena-gomez-red-dress_400x600
I don’t want to see your bodies on Instagram, I want to see what’s in here (shows the heart).  I’m not trying to get validation, nor do I need it anymore. All that I can say from the bottom of my heart is that I’m so grateful that I have the opportunity to be able to share what I love every single day with people that I love. And I have to say thank you so much to my fans because you guys are so damn loyal and I don’t know what I did to deserve you. If you are broken, you do not have to stay broken.”  screenshot_2016-11-22-12-49-09-1Validation is a real problem with this new era of smartphones and social media! Yani naona hii dunia ya mitandao kama una roho ndogo kama yangu basi ni shida kwakweli! So many bullies kwenye hii mitandao, majaji na mahakimu ambao hawana vyeti wala elimu husika ndo wamejaa kwenye hii dunia ya technology.  Yani kuna watu wako busy kukosoa watu na maisha yao utadhani wao kila kitu ni perfect kwenye maisha yao kumbe mmh! Sasa ukiwa una low self-esteem basi hawa watu watakupa depression bila kutaka wala kujua! Halafu sasa drama zilivyo nyingi then  wanataka wakuhusishe kwenye ma-drama zao zisizo na kichwa wala miguu! Yani hautajua yalipo anzia wala yanapo kwenda ?? Mambo ya timu na mambo ya kutafuta followers ni janga la social media kwakweli! Yani kama hauna self- discipline basi jua rehab inakungoja sana ??…… Binafsi nashukuru sana mwanangu siyo mtu wa social media kiivyo! Yani hata kupost picha zake ni shida! Ndo maana hata humu huwa naweka picha zake mara chache sana.

Leave a Reply