Shikamoo Jackline Mengi!!!

screenshot_2016-12-10-20-42-42-1screenshot_2016-12-10-20-43-17-1I bow my head down to the glory of muke ya billionaire Dr. Reginald Mengi. ?? kweli wewe si mutu ya  mucheso!!………Please may I have a tour of your newly house pleasee! I swear I will make a trip to Machame just for you Jackline a.k.a Mama wawili ??screenshot_2016-12-11-10-30-02-1That dress is one to die for kwakweli! Ulipendeza sanaaaaaa ?? ………..Haya nyie wasichana wa DotCom mchukue mafunzo haya toka kwa Jackline, mnaona amefanikiwa kupata her dreamed house??!! Mwenzenu kaomba ajengewe Machame, kijijini kwao na Dr. Mengi!! Nasikia hiyo nyumba mpaka ina ranch ya Farasi! Embu tazama hapo mbele tu panavyo vutia!!……… Sasa nyie eti mnataka mpewe dream house zenu wakati kiwanja unatafuta sijui Masaki karibu na Jolies’ Club? inahusu?!! Eti ooh! baby naomba nijengee nyumba yangu Mbezi karibu na Trigo Motel, kha!! Sindio maana mnaachwa kwenye mataa mnabaki mnajiuliza why!!………….. Yani mie hapa nashukuru sana Bukoba kuna #Earthquake hakujengeki na baba yangu Dr Magu kagoma kutoa pesa hivyo tutabanana hapo hapo mujini ?????? Aku babu wee na mimi nataka niishi Mbezi ati tena karibu na kwa Ruge ili nimkodoleshe macho yake vizuri ???? ???screenshot_2016-12-11-10-32-35-1Yap! Nyumba kama hiyo inataka marafiki wanao jitambua siyo wakina Mwajuma ndala ndefu ??screenshot_2016-12-11-10-33-13-1Safi  , sanaaaaaa ! Hongera sanaaaaaa ??

Leave a Reply