“Together we will get through this, God bless you we love you “~~~~ Idris Sultan

Wapendwa, huu msiba umeumiza watu wengi sana! Binafsi nikiona hii picha ya hawa watoto nashikwa na butwaa, huzuni inanijaa! Kuna post ya kuchekesha nilitaka kuweka kile kitendo cha kufungua blog na picha ya kwanza nakutana nayo ndiyo hiyo ya watoto hao washule yani nikajikuta nakuwa mdogo kama sisiminzi!! Nikaona ngoja niipotezee kwa leo. Seriously, the nation is still grieving, I don’t know how people will transit from this tragedy to their normal lives?!! O’Lord of mercy see Tanzanians through this!!………… ¬†Basi nikaingia Instagram ndo nakutana na huu ujumbe wa Idris Sultan kwa Watanzania wote. Very touching, embu usome na wewe…..!¬†

Leave a Reply