“Watanzania, mimi sikubali kuwa jiwe”-Mwl. J.K Nyerere

Kisa hichi kinanikumbusha story ya mke wa Lutu kwenye Biblia japo hakifanani sana lakini the moral of the story still the same. Ukitaka kusonga mbele na kuwa na mafanikio makubwa inabidi kuwa jasiri sana wakutosikiliza ya watu! Watu ambao wanajua kuwa “wamechemsha” kwa kutofata mashariti ya kufika to their “promise land” or destiny wengine huwa wanakua na busara na kutumia experience yao kwa kuwafundisha au kuwaambia wengine wasifanye makosa walio fanya. Lakini kuna ambao wanakuwa na hasira sana na wengine na kuanza kupiga makelele kwa wale ambao wanaonyesha muelekeo wa kufika kwenye nchi ya asali…….. Watu hao ndo wazushi, waongo, wachonganishi, wapika majungu n.k hayo yote wanafanya kuwakatisha tamaa wale ambao wanaonyesha dalili ya kufanikiwa. DON’T ¬†NEITHER LISTEN NOR ¬†JOIN THE NOISE MAKERS! They are nothing but biggest losers! USIKUBALI KUWA JIWE!!

Leave a Reply