Welcome to the world baby Magreth Atieno!

img_20161004_113720Welcome to the world baby girl, my niece, my babysister’s namesake Magreth Atieno Guka Igogo! We thank Almighty God for this bundle of joy! The new addition to Mr. O.O. Igogo’s family. Mjukuu number 8!

Magreth Sr and Magreth Jr
Magreth Sr and Magreth Jr

fb_img_1472436063790Wapendwa wasomaji wangu, naomba nichukue nafasi hii kuwatambulisha kwenu mgeni mpya katika jamvi hili!…… Siku ya leo majira ya saa saba usiku  (saa za East Africa) mdogo wangu (kwenye picha ya kwanza) aitwaye Guka pamoja na fiance wake Agness walijaliwa kupata mtoto wao wa kwanza. Guka ameamua kumwita jina la dada yake kipenzi “Magreth”. Na jina lake la kilugha litakuwa Atieno kwasababu amezaliwa usiku. Kama angekuwa mwanaume angeitwa Otieno! ……….. Anyway, naomba Mungu amlinde akuwe salama na achukuwe tabia na roho ya shangazi yake zaidi ya yote aishi kulingana na matakwa ya Mwemyezi Mungu!……..Hongera sana mdogo wangu and welcome to the world my niece ❤❤❤❤ You

Leave a Reply