Happy 53rd Anniversay to my baba na mama mkubwa!

Japo kwa kuchelewa siku moja , naomba niwatakie kheri na furaha ya kutimiza miaka 53 ya ndoa kwa baba na mama yangu mkubwa- Mr and Mrs Joseph Musira. Anniversary yao ilikuwa jana tarehe 09/12. Hawa ndio walikuwa my 2017-Hottest And Best Couple Of The Year! (SomaHapa) Naomba Mungu awazidishie baraka zake na awaweke salama mpaka tutakapo onana! Happy Anniversary wazazi wangu.


 

Leave a Reply