Aika got talent!

FB_IMG_1433690474163Wow! Aika! Yani umenifurahisha sana my doll! Mungu akubariki ufike mbali na ndoto zako zote zitimie!Amazing!

FB_IMG_1433690469242Aika ni binti wa Mr and Mrs Lyimo ambao wanaishi  San Francisco, California. Nafurahia sana kuona kipaji alichonacho Aika na inakuwa kama mshangao kidogo kwa jinsi watoto wanavyo kuwa haraka. Aika ni mtoto ninaye mfahamu tangu mdogo kwani wazazi wake walikuwa wakiishi Michigan kabla ya kuhamia California, na pia ni watu ambao tulikuwa karibu sana. Hongera sana Regina na Lyimo kwa kukuza.

FB_IMG_1433690463136Keep it up Aika, and remember to put aunty Alpha in your payroll once you get that contract ha! ha! ha!

Leave a Reply