Alicia 4th birthday party

FB_IMG_1444964454664Princess Alicia akiwa anameremeta teyari kwa kusherekea birthday yake siku ya Juma Mosi. FB_IMG_1444964465768Alicia birthday yake ni 10/08/ lakini party yake ilifanyika siku ya Saturday kwasababu birthday iliangukia katikati ya wiki. Kusoma post ya birthday wishes yake bonyeza ?   FB_IMG_1444964541077FB_IMG_1444964553667 FB_IMG_1444964512928FB_IMG_1444964558288theme ya birthday ilikuwa ni mambo ya ‘princess’ party ! Pendeza sana 
FB_IMG_1444964853665FB_IMG_1444964847383FB_IMG_1444964576405FB_IMG_1444964478673FB_IMG_1444964525540FB_IMG_1444965426285FB_IMG_1444965456376FB_IMG_1444965416585Alicia you are too cute!  FB_IMG_1444964878026Eddah Gachuma na princess wake. Mziwanda huyu kipenzi cha mama. FB_IMG_1444967332825Princess Alicia na daddy ake. Hongera Vincent ila hapa “Germany shepherd” itahusu sana na fancy ya umeme ?? FB_IMG_1444964969153Mamkubwa naye hakubaki nyuma. Gatty Gachuma na niece yake. Mmependeza sana. FB_IMG_1444967392832Mama na wanawe, mmependeza sana  FB_IMG_1444967379873Hongera da Eddah, umekuza haswa FB_IMG_1444967367909FB_IMG_1444967271793FB_IMG_1444967261662FB_IMG_1444967285688FB_IMG_1444965002235FB_IMG_1444965401920FB_IMG_1444964465768Hongera sana wazazi kwa kumuandalia binti party nzuri sanaaaaaa…………..Happy 4th birthday Princess Alicia. God bless you.

One thought on “Alicia 4th birthday party”

Leave a Reply