All posts by Alpha Igogo

umejiandikisha? BADO?! Wasubiri nini?

FB_IMG_1437608609183Hujajiandikisha unasubiri  nini? Yani hata wazee wetu wamekupita? Prof. Sarungi pamoja na utuuzima wake kapanga foleni kasubiri na kajiandikisha, halafu wewe unasemaje ati?! Haya embu nenda sasa na umpitie na jirani yako!

Mahojiano maalum: Mahmoud Zubeiry a.k.a binzubeiry blog

FB_IMG_1437541501275
Najua mimi na wewe tunafamiana toka tukiwa wadogo lakini kwa faida ya wasomaji naomba ujitambulishe majina yako halisi:  Asante, mimi ninaitwa Mahmoud Ramadhan Zubeiry, mtaani walizoea kuniita Mudi
Unaweza ukatuelezea kidogo kuhusu elimu yako?  Shule ya msingi nilisoma pale Mgulani, baadaye nikaenada Rutabio sekondari kabla ya kufanya kozi mbili za awali za Uandishi wa Habari MAMET (Maarifa Media Trust), chuo ambacho kilikuwa kinamilikiwa na akina Jenerali Ulimwengu. Baada ya hapo, mwaka 2008 nilipata Stashahada ya Uandishi wa Habari ya LSJ (London School of Journalism) ambayo nilifanya online
FB_IMG_1437541539371
Ilikuwaje mpaka ukaanzisha blog yako na kwanini uliiita binzubeiry?
Baada ya kufanya kazi za kuajiriwa kwa muda mrefu tangu mwaka 1999, katika magazeti ya Dimba, Mtanzania, Rai, Bingwa, The African na baadaye Tanzania Daima na Sayari hapa nyumbani nikaona sasa inatosha. Lazima nisimame kama mimi kutafuta mafanikio binafsi. Ndipo nikaamua kuanzisha blog, ambayo sasa imekuwa tovuti kamili ya michezo, www.binzubeiry.co.tz
FB_IMG_1437541634585
Yalikuwa maamuzi magumu, ambayo mpinzani wa kwanza alikuwa mke wangu, pale nilipomuambia ghafla ninaacha kazi mwaka Mei mwaka 2012. Kama unavyojua mishahara ya kwenye vyombo vya habari hapa nyumbani haitoshelezi kukidhi mahitaji- hivyo niliacha kazi sina chochote. Sikuwa hata na kiwanja. Nilianza blog katika mazingira magumu sana, sina vifaa, nahangaika kusaka habari mitaani. Nilijituma hivyo hivyo hadi blog ikaanza kuvuma hatimaye nikaanza kupata watangazaji, taratibu nikaanza kununua vifaa vya kazi. Alhamdulillah sasa nina vifaa ambavyo ninafurahia kufanyia kazi, kuanzia kamera, MacBook na zagazaga zote. Nipo full, ila tu ofisi bado popote.
FB_IMG_1437544009848
 Hali ikoje leo? Alhamdulillah ninamshukuru Mungu, watoto wangu wane kati ya watano wote wanasoma shule za kulipia, wawili kati wao sekondari kidato cha kwanza (Nurat na Precious). Wawili wapo shule ya msingi darasa la kwanza (Prince Akbar) darasa la pili (Princess Asia). Mungu akijaalia mwakani Sheikh Yussuf (miaka miwili) ataanza chekechekea. Nina shamba la embe ekari mbili eneo la Kigamboni. Nina nyumba Kigamboni huko huko na kiwanja ambacho hakijajengwa bado cha ukubwa wa 40-40. 
FB_IMG_1437543931792Unamagari mangapi? Yapo matatu tu, Passo anayotumia mke wangu, Range Rover na BMW ambazo natumia mwenyewe
Inaelekea unapenda sana michezo, je ulisomea uwandishi wa habari upande wa michezo au ni kipaji tuu ulizaliwa nacho?
FB_IMG_1437544757337
Kama utakumbuka napenda michezo tangu nipo mdogo, nimecheza mpira mwenyewe pale KJ, lakini sikubahatika kufika mbali. Wakati nipo shule ya msingi Mgulani nilichaguliwa na Mwalimu Chale kama unamkumbuka katika kikundi cha Chipukizi, ambao ndiyo tulikuwa Ball Boys wa Uwanja wa Taifa enzi hizo mpira wa Tanzania uko juu sana. Kwa hivyo tangu hapo nikawa mpenzi sana wa michezo. Kwa kupenda kusoma magazeti, nikapenda sana na mimi siku moja niandike. Nilikuwa navutiwa wana na uandikaji wa watu kama Johnson Mbwambo na Francis Chirwa. Nilitamani siku moja niwe kama wao. Nashukuru walikuwa mabosi wangu, walinifundisha kazi katika gazeti la Dimba kwa upendo kabisa. Kama ninasifiwa leo ni Mwandishi mzuri wa michezo, basi kwa sababu nilipitia kwa walimu wazuri hao na wengine wengi kweli. Eric Anthony alikuwa Mhariri wangu wa kwanza pale Dimba. Huyu jamaa alinipiga msasa sana.
FB_IMG_1437544685611Ulipata wapi ujasiri wa kuanzisha blog yako mwenyewe?haswa ukitazama hapo nyuma watanzania walio wengi walikuwa wanafikiri kuanzisha blog ni lazima uwe mtu maharufu au mtu ambaye umetoka kwa familia yenye pesa? Kama nilivyokuambia, niliamua tu kujilipua kwa kuacha kazi na kwenda kujiajiri mwenyewe. Nilijikabidhi kwa Mungu na leo ninamhsukuru sana Mungu kwa kweli. Amenisamamia na anaendelea kunisimamia. BIN ZUBEIRY ndiyo habari mjini
Hii blog unaitumia kama sehemu tuu ya vitu unavyo vipenda au pia ni sehemu ya kujiingizia kipato? Mama hii ofisi, inafanya niishi kupitia malipo ninayopata kutokana na vijitangazo hivyo. Ukiondoa hii tovuti, mimi mkulima na nina mpango kuanza mradi wa ufugaji nitakapohamia kwenye nyuma yangu Januari Mungu akipenda.
FB_IMG_1437541894205
Najua watu wengi hawajui historia ya ulipo tokea ila kwa sisi tulio kufahamu tunaona ni ukuu wa miujiza ya Mungu. Je wewe ulisha wahi kuwaza wakati wa utoto wako kuwa ipo siku moja utaishi maisha haya unayo ishi sasa hivi? Labda udokeze kidogo maisha ulio kulia: Kuna wakati huwa nalia mwenyewe ninapokumbuka nilipotoka, misukosuko na shida za maisha nilizopitia. Lakini mwisho wa siku ninamshukuru Mungu tu, kwani yeye ndiye mpangaji wa yote. Niseme nini Alpha, mimi nimetokea familia ya kimasikini pale Keko wewe mwenyewe unajua. Tulikuwa na maisha duni kupita duni zote. Kuna wakati nilikuwa nakwenda kwenye jalala la soko dogo pale Keko kuokota vilivyotupwa na kutafuta vyenye nafuu ili twende nyumbani kupika kupata chakula. Nilianza kufanya deiwaka hata kabla sijaanza darasa la kwanza, napimisha watu uzito kwa mzani si unakumbuka? Na ni ule mzani ulinosomesha mimi, ilikuwa kila nikitoka shule naenda kusanya, Napata fedha za mahitaji ya shule. Nilikuwa nakwenda kubeba mizigo Kitumbini. Nimepiga debe, nimeuza mitumba minadani. Manyanyaso, chuki na masimango hivyo ni vya kawaida.
2Wewe ni mtu au mwandishi wa habari pekee ulie bahatika kuona gari la kifahari (ambalo ni custom made) la kijana wa Bhakresa; ulijisikiaje ulipo pata fursa hiyo? Kwanza mlifahamiana wapi au ulimjuaje?
6
Yussuf ni rafiki yangu. Tumejuana kutokana na kazi, wao wanamiliki timu ile ya Azam FC. Alipenda ninavyoandika habari za timu yao, akawa rafiki yangu, tumeshibana hadi tumeaminiana kiasi hicho.
5
Na Yussuf pamoja na Zacharia Hans Poppe ni watu wenye mchango mkubwa katika maisha yangu. Hawa ni wafadhili wakuu wawww.binzubeiry.co.tz
8
Ni nini umejifunza zaidi au faida kubwa umepata kutokana na mitandao? Je unafikiri watanzania wanatumia vizuri mitandao?
Nimejifunza mengi sana, nilisahau kukuambia, nilisoma kozi moja fupi pia ya namna ya kuendesha blog mwaka 2012 ilidhaminiwa na SBL (Serengeti Breweries). Kuhusu matumizi, si Watanzania, watu dunia nzima wapo wanaotumia vibaya mitandao ya kijamii. Na vigumu kuwabadilisha. Hizo ni hulka. Mtu anayejishimu hawezi kuposti picha za ngono. Hawezi kutumia mtandao kumtukana mtu.
FB_IMG_1437541501275Nini ujumbe wako kwa Watanzania wenzako? Ujumbe wangu kwa Watanzania na vijana wenzangu. Wamtegemee Mungu, waache ushirikina. Mafanikio yanakuja baada ya kujituma. Lazima tufanye kazi, tuache majungu. Tanzania itaendelea zaidi, iwapo vijana watafanya kazi kwa bidii.
Asante sana Zubeiry!  Nami ninakushukuru Alpha, nimefanya mahojiano haya kwa heshima yako dada yangu. Huwa ninawakatalia hata watu wa televisheni huku, kwa sababu sipendi. Naomba utoe angalizo kuzuia watu wengine wasitumie article hii.
  
ANGALIZO: Si ruhusa kwa mtu au blogger yoyote yule kutumia (publish) haya mahojiano kwenye media yoyote au mahali popote. Hii article itaoneka hapa alphaigogo.com peke yake na hairusiwi kusambazwa mahali pengine. Asante.
 Credit: Mahojiano haya yameandaliwa na Alpha Igogo

 

Best wishes to Emelda Mwamanga

FB_IMG_1437451255294Napenda kuchukua fursa hii kumpongeza sana CEO wa Bang Magazine Ms. Emelda Mwamanga kwa kuamua kujitosa na kutangaza nia ya kugombea Ubunge wa viti maalum kupitia vyuo vikuu. Hongera sana  na nakutakia kila la kheri kwani unasifa zote na unastahili. Tabia zako ni mfano mzuri sana wa kuigwa kwa wasichana wa dogo ambao wana waangalieni nyinyi kama role model wao.  All the best!

Hot Shots of the day

FB_IMG_1437338201761President Obama spent quality time with his daughters and their friends in New York this weekend. How lovely! 2015_07_sashaWireAP_a72c1683d4cf481f8403a56787813b3d_16x9_992Simply beautiful!

Kutoka Facebook

FB_IMG_1437316741707lovely picture of Mwajuma and her beautiful children. Yani watoto wazurijee!! Hongera sana neighbor Mungu awalinde.

Positive people not Rich people!

Sorround yourself with positive people and not rich people! Some people are trying so hard to fit-in and have only people with “big money” as their circle of friends! The reason behind is  very few people who has been positively benefited from that kind of friendship. First of all, rich people always assume that everyone in the circle is well when comes to financial situation and often don’t like to be bothered with people begging for financial help!

Secondly, rich people can hardly support you emotionally. And this is due to the fact that they don’t know how to handle their own emotional issues that they might be facing. Often they Pretend to be fine while deep inside their hearts are very insecure with lots of pain  hiding under the nice expensive gourmets that they normally wear! Statistic shows many of them end up committing suicide or turn into a certain type of addiction. download

Thirdly, their love for money is way bigger than the love they have toward their fellow human being! They tend to be very selfish and self centered because they are  insecure. Their power and confidence comes from the ‘size’ of money they have in the savings account (s). So for you to try to fit in that circle wont help you much!

So my dear readers, its way better off if you sorround yourself with people who bring positive energy in your life. Even if they don’t have “big money” but they will always encourage you to go for your dreams and never give up! People who will always love you the same way wether you have zero digit or 6 digits in your bank account! Personally, I would rather sorround myself with truly wealthy people than rich people!

Best wishes to ShyRose Bhanji

FB_IMG_1437324032777Haya jamani mkowa wa Mara jemedari wetu anakuja kuokowa mkowa wetu kutoka kwenye majanga ya umaskini ulio tupwa. Mpeni nafasi awaletee maendeleo !  Hongera ShyRose, na kila la kheri katika mchakato huo.

Best Wishes to Ezekiel Kachare

FB_IMG_1437324094106Kwakweli ngoja tuu niwe mkweli as I always do 😁 ni muda toka nimeona hili tangazo la ndugu yangu (long time neighbor), childhood friend, and primary school classmate lakini nilishindwa kuliweka humu. Sababu haswa sipendi kujihusisha kwa undani na maswala ya siasa za Bongo kwasababu watanzania walio wengi wanafikiria siasa ni chuki. Hivyo kuepusha magroup yasioyo kuwa na ulazima niliamua kutoweka post za siasa kwa sasa. Ila basi inaponibidi kama hivi nitakuwa na post kuwapongeza au kuwatakia kila la kheri katika safari zao. Mara nyingi huwa naongelea siasa kwenye Facebook au nje ya mitandao ya kijamii na sihumu kwa blog.

Basi hivyo,  napenda kwanza kusema hongera kwa kudhubutu, na pia nakutakia kila la kheri katika safari yako. I hope Chadema watakusimamisha.

Kutoka Facebook

FB_IMG_1437317045145Nimependa sana hii picha ya familia ya Mr and Mrs Mali wakati wa siku ya sherehe za Eid. Just beautiful!

Je wajua hili?

FB_IMG_1437316698210Wapendwa nimesoma hii kutoka kwa Facebook ya cousin yangu nikaona bora ni share nanyi. Lakini naomba ujue kuwa original source ya habari inatoka kwa NageriaCamera.net

Inasemekana tunda la Mastafeli lina virutubisho muhimu sana ambavyo vinasaidia kuuwa vijududu vya kansa (anti-cancer) za aina zote! Inaponya magonjwa mengi ya tokanayo na bacterial na fungus. Vile vile inasaidia kulinda na kujenga upungufu wa kinga mwili, inaongeza nguvu mwilini na kutibu magonjwa mengi sana kama Bp na Kisukari.

Haya wapendwa usije ukafa au ukaacha mtu akafa kwa kukosa pesa ya matibabu wakati kuna matibabu ya bei nafuu kabisa na ni ya kiasili. Uchunguzi wa hili tunda umefanywa na vyuo mbali mbali vya Europe na America.

To all my Muslim friends and readers, wishing you….

eid-ul-fitr-mubarak-4

                   😍الله يبارك😍

Kutoka Facebook

FB_IMG_1436935214090Nimependa sana hii picha ya binamu yangu, simply beautiful!

Father and daughter moments

FB_IMG_1436923570278Lovely pics of Ahobokile na binti yake Magreth. Hongera sana sana mpenzi yake kwa kukuza binti. Kazurije sasa 🙂  FB_IMG_1436923579352Maggy  I feel you girl:)……..nani kama baba right?! FB_IMG_1436923546315So cute! Mbarikiwe

Birthday wishes

2015-07-15 00.04.07Happy 17th birthday Sarah! Sorry for the late post, but always know aunt Alpha loves you so much and you always in my heart! ….. Though dad and mom are not around but I want you to be assured that aunt Alpha will always be there for you whenever you need a shoulder to lean on! ???2015-07-15 00.03.23I wish you more joy, happiness, and more love! May your spirit be lifted and never feel lonely anymore! Off course, you are not alone Sarah we all love you so dearly. We wish you the best of all, aboundantly blessing from above! 2015-07-15 21.57.41Young ladies, this was really awesome of you guys! Putting something for Sarah’s birthday was just wonderful! May God keep blessing you guys and continue with that good spirit always! ????2015-07-15 21.58.32You are so beautiful Sarah just like your name ?2015-07-15 21.56.55looking good girls  2015-07-15 21.59.112015-07-15 21.56.13Nice! Nice! Beautiful! 2015-07-15 22.19.052015-07-15 22.20.112015-07-15 22.19.422015-07-15 21.58.322015-07-15 22.20.402015-07-15 22.21.352015-07-15 22.22.392015-07-15 22.22.102015-07-15 22.21.10Happy 17th birthday Sarah, we all love you ???????

Father and daughter moment

FB_IMG_1436935708098Lovely pic of James Chanda and his beautiful daughter Alissa. Mbarikiwe sana.

Kutoka Facebook

FB_IMG_1436935587766Jeshi la mutu tatu  🙂 nawapenda sana hawa watoto, ni watoto wa mama na baba watatu. Yani huwa naangalia videos ambazo mama yao huwa anapost Facebook yani hadi raha  watoto watiifu wanamsikiliza mama yao inafurahisha kwakweli. Halafu wanakwaya yao huwa wanaimba kanisani wote watatu na mama yao ndio Mwalimu wao 🙂 FB_IMG_1436935557091angalia vilivyo vizuri hadi raha Mungu awalinde sana.

Swahili restaurant / village

20150615_171823Mwezi ulio pita nilipo kuwa  Maryland state, kaka zangu Mr. President (Iddi Sandaly) na Dj Luke walinilipeleka kula kwenye mgahawa ujulikanao kama Swahili Village au Swahili restaurant…….20150615_171819

20150615_171819Yani chakula chao nikitamu sanaaaaaa! Kwakweli I was shocked kuwa kuna wakenya wanajua kupika vyakula vitamu namna hii! Hongereni sana shemeji zangu (mdogo wangu kaolewa na mkeyee)………. 20150615_171840Kwakweli chakula chenu nikitamu sana ila mboreshe upande wa customer service! Yani mnasubiria chakula kwa muda mrefu sanaaaaaa!  Yani kama mtu una lunch break ya 30 minutes to an hour ningumu sana kula sehemu hii. Nimetowa hii comment kwasababu nilipelekwa hapo mara mbili na mambo yalikuwa hivyo hivyo pamoja na kuwa mida ilikuwa tofauti na wahudumu ni wengine!! 2015-06-15 20.28.05Asanteni sana my brothers, Mr. President na Dj Luke kwa ukarimu wenu. Mbarikiwe sana mpaka mshangae  🙂  🙂 Wapendwa wasomaji basi ukiwa mitaa ya Maryland usikosefika Swahili Village au Swahili restaurant.  Na ukiwa mitaa ya Wichita, Kansas husikose fika East African Cuisine  pale utamkuta dada Tuma. Na ukiwa pande za Kalamazoo, Michigan usikose fika Jambo restaurant pale utamkuta si mwingine bali dada Frida. Asanteni!

Kutana na my nephew Elvin

IMG-20150714-WA0014Mmemuona nephew wangu eeh?! Yeye anasema ni team Dr. Magufuli kwa as ilimlia zote! Na jezz amevaa kuweka msisitizo 🙂  🙂 Sasa mwanangu wewe ni chotara wa Kenya na Tanzania inabidi umkazanie Dr. Magufuli apitishe ile kitu ya Dual-citizationship maana kumsupport kote huku halafu ukifika 18 eti uchague inchi hapana kwakweli 🙂 IMG-20150714-WA0015Safi sana mwanangu! Mungu akulinde akubariki sana uwe na afya njema. Amina. Love son 😍

Birthday wishes

IMG_0213Happy birthday beautiful Nafsa! Mungu akulinde, azidi, kukubariki, ukuwe katika kimo na hekima, ukashike sanaaaaaa Elimu na usimuache Mungu katika maisha yako mwananetu! Mungu awe nawe katika siku hii yako muhimu ya kuzaliwa, akupe furaha nyinyi na amani tele ndani ya moyo wako, uwe na afya njema, na uzungukwe na upendo wa kweli! Happy birthday lovely daughter!

Fina Nyongo herself!

2015-07-12 10.05.47The queen herself! Looking hot as usual! FB_IMG_1436712384797Fina looks beautiful on her African print dress designed by Rouz Naliaka Rubasha.