Pata nguo za bei nafuu kutoka kwa Binti Malaika

FB_IMG_1458790038474-1Wapendwa wasomaji wangu, naomba kama una binti mdogo na unahitaji kununua nguo kwa bei nafuu ambazo ni kama mpya. Yani ni nguo zake mwenyewe lakini hazijavaliwa sana na nyingine hazijavaliwa kabisa. Screenshot_2016-03-24-23-25-44-1 Basi nenda kwenye Instagram yake ambayo inaitwa “BintiMalaika” ujichagulie.  50% ya hela anapeleka kwa charity (anatoa msaada). Screenshot_2016-03-24-23-25-54-1 Asanteni!

Leave a Reply