Easter moments: Sarungis

Screenshot_2016-03-28-19-13-12-1Familia ya mzee Prof. Sarungi yenyewe walisherekea mapumziko ya Pasaka kwa kula na kunywa pamoja kama familia (kama ilivyo kawaida yao). Pia wakajumuika na ndugu wengine kusherekea miaka 80 ya kuzaliwa Prof. SarungiScreenshot_2016-03-28-19-11-50-1FB_IMG_1459210297966-1FB_IMG_1459192788688Wapendwa si mnakumbuka nilitoaga ushahidi kuwa mama Sarungi anapenda sana kuvaa Batiki! Si mnamuona eeh?! ?? Barikiwa sana mama yetu kipenzi. Mlipendeza mno ndugu zangu. Raha sana! Mbarikiwe wote.

Leave a Reply