Tanzia: DMV na California

         DMV  NA CALIFORNIA

Kwa niaba ya familia ya Kaka Adam Tenga na Dada Aziza Mitchum ; tunasikitika kutangaza kifo cha Mama yao Aunt Nuru kilichotokea March 27, 2016 huko San Fransisco , California. Taratibu za kusafirisha Mwili wa Mareheme kwa mazishi kwenda  Tanzania zinaendelea.

Tunaombwa tushirikiane na ndugu zetu na familia kwenye kuchangia na kukamilisha gharama za kumsafirisha marehemu mama kwenda nyumbani Tanzania.

Tunaombwa tuchangie kupitia:

Aziza Mitchum: American Express Centurion Bank , Account # 6220033620855

Go Fund Me: gofundme.com/zaw825cs

Kufarijiana ni mila yetu, tafadhali mpe taarifa mwingine.

Msiba uko :

DMV: 6200  Ager Rd, Hyattsville, MD 20782

California: 1441 Detroit Avenue, Concord, CA 94520

Kwa taarifa kamili:

Adam Tenga : 240-491-1770

Aziza Mitchum: 925-548-2585

Ally Mikidadi: 201-628-2133

Abdulahi Makeo: 240-318- 3419

Asha Harizi: 703-624-2409

Mwajuma Awadhi : 510-205-9062

Jasmine Rubama: 410-371-9966

 

*Poleni sana wafiwa wote, ndugu, jamaa, na marafiki. Mungu awe nanyi katika kipindi hichicha maombolezo*………… please note: picha iliyo tumika haina huusiano wa moja kwa moja na marehemu au msiba. Asante.

 

 

Leave a Reply