Furaha ya Pasaka

Hivi ndivyo baadhi ya wasomaji wetu walivyo shereke siku kuu ya kufufuka kwa Bwana Yesu (Pasaka).

Mambo yalikuwa kama ifuatavyo pande za Atlanta, Georgia kwa designer maharufu Linda Bezuidenhout(owner of Lb apparel). Linda kama kawaida yake amevaa vazi la ubunifu wake yeye mwenyewe.

FB_IMG_1428375248491FB_IMG_1428375223857FB_IMG_1428375240553Na hivi ndivyo ilivyokuwa pande za Mbagala, Dar es salaam. “Undugu ndo hazina yetu” hayo maneno aliyo sema Felister Sarungi wakati akisherekea ufufuo wa Mfalme Yesu pamoja na shangazi yake Tabu Obago pamoja na Jack  na Juliet (binti wa Tabu).

FB_IMG_1428375651968FB_IMG_1428376369307FB_IMG_1428376320842Mbarikiwe wote na muendelee kufurahi katika Bwana.

2 thoughts on “Furaha ya Pasaka”

  1. My spouse and I stumbled over here different website and thought I may as well check things out.

    I like what I see so now i’m following you.
    Look forward to going over your web page repeatedly

  2. You’re so cool! I don’t think I’ve truly read a single thing like this before.

    So good to find someone with unique thoughts on this subject.

    Really.. thanks for starting this up. This site is something
    that is required on the internet, someone with a bit of originality!

Leave a Reply