Happy 70th birthday mzee Manongi

IMG-20151004-WA0001Kheri ya siku ya kuzaliwa mzee wetu Stanley Manongi. Leo hii umetimiza miaka 70 ya kuishi katika sayari hii tulio pewa na Bwana. Umetimiza ahadi ya Mungu kuwa mwanadamu ataishi miaka 70, na zaidi ya hapo ni miaka ya upendeleo  (grace period ) kutoka kwa Mwenyezi Mungu! Pokea na furahia upendeleo huo, kwani unastahili mzee wetu. IMG-20151004-WA0000Tunakutaki na kukuombea maisha marefu zaidi, yaliyo jaa afya njema, amani, upendo, na furaha nyingi mno. IMG-20151004-WA0004Tunakuombea wewe na mama yetu, maisha mazuri zaidi ya haya. Mkapate kufurahia ‘pension’ ya Bwana Mungu pamoja katika amani na afya njema. Ubarikiwe wewe na uzao wako wote. Happy 70th birthday baba yetu. We love you!

Leave a Reply