Happy 80th birthday Mzee Sarungi

Screenshot_2016-03-23-17-27-31-1Wow! 80 and still going strong! Happy birthday Prof. Sarungi. Mungu azidi kukubariki ufike 100+. Ukaone watoto wa wajukuu wako na wajukuu wa wajukuu wako …….Hongera sana pia kwa mama Sarungi kwa matunzo bora anayo kupa. Ubarikiwe sana baba yangu mkubwa. Happy birthday!

Leave a Reply