David Latterman miezi 11 baada ya kustahafu…!

Screenshot_2016-03-23-14-40-25-1

Ni miezi 11 tangu kustahafu kwa kungwi wa talk show iliyo julikana kama “The Late Show”. Ameonekana leo akiwa akifanya mazoezi wakati akiwa vacation. David, ameonekana tofauti sana na jinsi alivyo zoeleka (tazama Video ?). Ameongezeka sana, kafuga ndevu, naule u-smart wake umeisha kabisa.

Kuna professor mmoja hivi alisema kama mtu umekuwa ukifanya kazi kwa muda mrefu na ukaamua kustahafu ni vizuri kuwa na ‘plan B’ ambayo itakuwa unafanya ili ku keep your mind fresh and a little bit busy. Lasivyo utajikuta unaugua au kufa haraka sana. Kwa mfano kuwa na vacation plan, utumie muda wako wa kustahafu kuona dunia. Au kuwa una volunteer kazi somewhere yani kitu fulani cha kukufanya una amka na kutoka ndani ya nyumba. Pia mazoezi ni muhimu…………Screenshot_2016-03-23-19-20-11-1anyway, we wish him the best!

Leave a Reply