Happy birthday Neema a.k.a Beyonce!

fb_img_1481408503756Japo siku imepita lakini si mbaya kukutakia kheri ya siku ya kuzaliwa kwako. Nakutakia maisha mema, yaliojaa upendo, furaha na amani tele!
fb_img_1481408595323fb_img_1481408544212Kwa wale msiomjua Neema ni mdogo wake Foster Mbuna ambaye ni mmoja wa wadau wa hii blog! fb_img_1481408509192Neema akila dinner na familia yake……. family  is everything men! fb_img_1481408574627Mama naye akipata kipande cha cake kama shukran kutoka kwa mwanaye………Hongera sana mama fb_img_1481408565615 fb_img_1481408556137 fb_img_1481408539617 fb_img_1481408532576 fb_img_1481408526496 fb_img_1481408515519fb_img_1481408503756Once again, happy belated birthday Neema a.k.a Beyonce ❤❤

Leave a Reply