Hot pic of the day

Screenshot_2016-08-30-11-56-07-1Linda Bezuidenhount akiwa huko NY katika business trip napia kum-support rafiki yake (KK) ambaye pia ni partner wake kwenye new clothing line ijulikanayo kama ID´EAL wakati alipokuwa anafanya surgical procedure kwa mwili wake! …….amependeza sana. Kutoka na maneno yake yeye mwenyewe amesema amekata na kushona hii jumpsuit ndani ya masaa mawili ??

Leave a Reply