Hot shot of the day

Screenshot_2016-01-15-16-36-26-1Shamimu Mwasha looking hot! Mama wa 8020 fashion  blog! Nimependa rangi na nguo yenyewe, ngozi safi nzuri mno, make-up imetulia kabisa! Mimi si mpenzi wa kuvaa vilemba lakini huwa napenda nikiona mtu kavaa halafu likamkaa vizuri kama yeye. Yani mimi  kama ningekuwa na uwezo wa kuvaa T-shirt na skinny jeans au tighty kila siku ya Mungu basi ningevaa hivyo kila siku ??? sipendi shopping ya nguo kabisa aaaa hivyo mambo ya fashion nawaachia wajuzi kama Shamimu! Kwakweli huyu dada anajitahidi na nimevutiwa sana na ile TV yake mpya iitwayo Zeze TV, imenikuna haswa aaa nafikiria “kumgelezea” ??? Ubarikiwe sana mpendwa, keep doing the good work.

Leave a Reply