Hot shot of the day

FB_IMG_1442849372051Mrembo na mama aliyeumbwa akaumbika Mrs Lyimo. Kapendeza sana! Kitu kutoka Kanda ya Ziwa maeneo ya Musoma line hiyo ?2015-09-21 10.34.17Mwanamke mguu ati haswa siye wa kanda ya ziwa yani woman’s leg is part- compulsory of your beauty…………..watu wa kanda ya ziwa wanaangalia miguu ya mwanamke sanaaaaaa! Wanaamini wanawake wenye miguu membamba (wanaita  mironjo) wengi ni chakaramu (yani wanaongea kupitia kiasi) na huwa wana roho fulani hivi ‘not amazing’ ??? Sina   huwakika kama imethibitishwa na wanasayansi ila najua wanasayansi wamethibisha kuwa wanawake wenye hips kubwa wengi huwa wana akili sana.

Leave a Reply