Hot shot of the day

FB_IMG_1446080664015This is too cute,  hot indeed! Mh. ShyRose Bhanji akiruka toka kwenye boti wakati wakitokea maeneo ya Musoma vijikini wakati wa campaign. Naamini kwasababu sasa kampeni zimeisha basi haita kuwa mbaya kwa mimi kuweka picha kama hii. Kwani hii natambua na ludhamini wasomaji wangu wote bila kujali dini zao, kabila, wala itikadi zao.

Leave a Reply