The Kakoschkes’

FB_IMG_1446080753933-1Kwanza nianze kwa kusema happy belated birthday baba Amika. Mr Kakoschke alisherekea birthday yake siku chache zilizopita. Alixungwa na familia yake ambao anawapenda sana na yeye anawapenda sana. FB_IMG_1446080773092-1Naona Malaika yeye kajichokea na kujilaza kabisa. Hapa walikuwa ndani ya treni wakielekea sijui wapi, nimesahau ?? Hawa watu wanasafiri sana. Wanapenda kusafiri na all outdoor adventures. Tembelea blog yao kuona picha nyingi nzuri sana na kujua maisha yao. Nenda wwww.maisafari.com ukaone dunia japo kwa picha.  FB_IMG_1446080733553This Velvet Strawberry cake looks delicious! Yummy!

Leave a Reply